Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2017

JE UNALITAMBUA TATIZO LA U.T.I KWA UNDANI ZAIDI?

👍 MAAMBUKIZI YA NJIA YA MKOJO (URINARY TRACT INFECTIONS -UTIs) Neno U.T.I si geni masikioni mwa wengi, kwani ni wengi leo utawasikia “naumwa U.T.I”. Japo si wote hulitumia kisahihi. Wengine wana tatizo ambalo ni tofauti na U.T.I, lakini anaweza akaenda hata duka la dawa na kuomba apatiwe dawa za U.T.I. Leo nimeona tubadilishane elimu juu ya hili tatizo, angalau kila mmoja awe na uelewa U.T.I ni nini hasa, inasababisha na nini, na ni jinsi gani anaweza kujikinga. U.T.Is, ni kifupisho cha Urinary Tract Infections, ambayo kwa lugha yetu ni maambukizi ya njia ya mkojo. Kama linavyojieleza, kwamba maambukizi ni lazima yawe ni kwenye njia ya mkojo ndipo tunaita ni U.T.I, na si pengine popote. Una uchafu unatoka ukeni, hiyo ni kitu kingine tofauti nk. Tunapozungumzia njia ya mkojo, ni kutoka eneo la nje hadi kwenye kibofu, na kutoka kwenye kibofu hadi kwenye figo. Kama maambukizi yako eneo la kutoka kwenye kibofu hadi kwenye figo(ikihusisha na figo pia), inaitwa Lower Urinary Tract In

TAARIFA KWA UMMA NA WAHITIMU WA STASHAHADA WOTE

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI ( NACTE ) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAHITIMU WA STASHAHADA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI WANAOKUSUDIA KUOMBA KUJIENDELEZA KATIKA NGAZI YA SHAHADA KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge, Sura 129, ili kusimamia na kuratibu utoaji wa mafunzo ya elimu ya ufundi nchini. Jukumu kubwa la Baraza ni kuendeleza na kuinua ubora wa elimu na mafunzo ya ufundi nchini kwa kusimamia kikamilifu shughuli za usajili na ithibati, mitaala na upimaji ili tuzo zitolewazo na vyuo/taasisi ziwe na ubora unaokubalika kitaifa na kimataifa. Kifungu cha 5 (1) (e) na (f) cha Sheria hii kinaipa mamlaka NACTE, kuanzisha tuzo mbalimbali zinazotolewa na kuhakikisha kuwa ubora wa elimu na mafunzo ya kada ya kati yatolewayo na taasisi mbalimbali yanazingatia ubora unaokusudiwa. Aidha, Kifungu cha 11, kinalitaka Baraza kuhakikisha kuwa Tuzo zitolewazo na vyuo

TIBA ZA ASILI KWA KIKOHOZI

🌸🌻AJINSI YA KUTIBU KIKOHOZI KWA NJIA ZA ASILI. Kama umekuwa ni miomgoni mwa watu ambao wamekuwa wakisumbuliwa na kikohozi kwa muda mrefu anaweza kutumia vitu vifuaravyo ili uweze kupona kabisa, 1. Tangawizi Tangawizi ni moja ya dawa maarufu kwa kutibu kikohozi. Tengeneza chai ukitumia tangawizi mbichi na ndani yake utumie asali na siyo sukari kwenye hii chai yako. Kunywa kikombe kimoja kutwa mara 3 kila siku mpaka umepona. Angalizo usitumie dawa hii kama una ujauzito mchanga chini ya miezi minne na hata ukiwa na ujauzito zaidi ya miezi minne basi tumia kikombe kimoja tu kwa siku. Unaweza pia kutengeneza juisi ya tangawizi freshi ukiongeza parachichi ndani yake na unywe kwa mtindo huo huo wa chai hapo juu. 2. Limau Limau inaweza kutumika kwa namna nyingi katika kutibu kikohozi. Limau zina sifa za kuondoa maambukizi na pia limau lina vitamini mhimu ambayo hupigana na maambukizi na kukuongezea kinga ya mwili vitamini mhimu sana vitamini C. Changanya vijiko vikubwa viwili vya ma

HEALING OUR BODY

❄🌹MEDICAL FITNESS_            *BLOOD PRESSURE*           ---------- 120/80 --  Normal 130/85 --Normal  (Control) 140/90 --  High 150/95 --  V.High ----------------------------            *PULSE*           -------- 72  per minute (standard) 60 --- 80 p.m. (Normal) 40 -- 180  p.m.(abnormal) ----------------------------           *TEMPERATURE*           ----------------- 98.4 F    (Normal) 99.0 F Above  (Fever) *BLOOD GROUP COMPATIBILITY* What’s Your Type and how common is it? *O+*       1 in 3        37.4% (Most common) *A+*        1 in 3        35.7% *B+*        1 in 12        8.5% *AB+*     1 in 29        3.4% *O-*        1 in 15        6.6% *A-*        1 in 16        6.3% *B-*        1 in 67        1.5% *AB-*     1 in 167        .6% (Rarest) *Compatible Blood Types* O- can receive *O-* O+ can receive *O+, O-* A- can receive *A-, O-* A+ can receive *A+, A-, O+, O-* B- can receive *B-, O-* B+ can receive *B+, B-, O+, O-* AB- can receive *AB-, B-, A-

LIFAHAMU TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA CHANZO CHAKE

👑... LIFAHAMU TATIZO LA #UKOSEFU WA NGUVU ZA #KIUME NA CHANZO CHAKE. Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia tatizo la kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote. Jambo muhimu analopaswa mwanaume yeyote kufahamu ni kwamba, kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Hii ina maana kuna dosari au udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili wake.  Kuna sababu nyingi mno zinazosababisha mwanaume apungue nguvu za kiume. Mtu aweza kujiuliza kwa nini kuwe na sababu nyingi namna hiyo? Kwani nguvu za kiume ni nini? Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la ndoa; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo  lenyewe. Ni viungo gani vinavyohusika na nguvu za kiume? Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu vingi ndani ya mwili. Ku

JE WAJUA KUWA TENDO LA NDOA NI TIBA NA DAWA KIAFYA?

❤FAIDA 15 ZA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA❤ Tendo la ndoa tangu uumbaji lililengwa kati ya mwanaume na mwanamke waliofunga ndoa, sasa hivi dunia imebadilika sana kiasi kwamba tendo hili sio lazima kuliita la ndoa tena. watu wengi wamekua wakishiriki tendo la ndoa bila kufungua ndoa .. vile vile kutokujua faida zake.lakini tendo la ndoa lina faida nyingi sana kiafya na kisaikolojia. Hivyo kama wewe una mke, mchumba au mpenzi halafu kila siku unampa sababu za kutoshiriki basi huenda hujui faida zake. hebu tuzisome kama ifuatavyo.. 👉🏿 HUONDOA MSONGO WA MAWAZO;     kipindi cha tendo la ndoa mwili hutoa hormone inayoitwa kitaalamu kama endophirn ambayo huleta furaha.kila aliyeshiriki tendo la ndoa atakua shahidi kama una msongo wa mawazo sana ukaenda kufanya tendo hili utajikuta unajisikia vizuri sana, 👉🏿 HUPUNGUZA PRESHA YA DAMU;      wakati wa tendo la ndoa damu inapita kwa kasi sana kwenye mishipa ya damu na kuondoa vikwazo kama mafuta, lehemu na kunyoosha mishipa iliyosinyaa.utafi

URUSI WAIONYA MAREKANI KUHUSU SHAMBULIO LA NDEGE YAKE YA KIVITA

Urusi imeonya kuwa itashambulia ndege za muungano unaoongozwa na Marekani nchini Syria iwapo ndege hizo zitapaa katika maeneo ambayo jeshi lake linahudumu. Hii ni baada ya ndege ya kivita ya Marekani kutungua ndege ya kivita ya serikali ya Syria. Muungano huo unaoongozwa na Marekani ulisema ndege moja yake ilitungua ndege ya Syria aina ya Su-22 baada ya ndege hiyo kuangushia mabomu wapiganaji wanaoungwa mkono na Marekani katika mkoa wa Raqqa, Jumapili. Urusi, mshirika mkuu wa serikali ya Syria, imesema pia kwamba itakatiza mawasiliano yote na Marekani ambayo lengo lake huwa kuzuia ajali angani. Syria imeshutumu shambulio hilo la Marekani na kusema litasababisha "matokeo mabaya sana". "Ndege yoyote, ikiwa ni pamoja na ndege za kawaida na ndege zisizokuwa na rubani ambazo ni za muungano wa kimataifa unaohudumu magharibi mwa mto Euphrates, zitafuatiliwa na majeshi ya kukabiliana na ndege angani na ardhini na zitachukuliwa kama kitu kinachofaa kushambuliwa," wizar

FAIDA ZA MAZIWA YA SOYA MWILINI

DONDOO ZA AFYA........!!!! MAAJABU YA SOYA MWILINI. MAAJABU YA SOYA MWILINI. Soya ni zao la jamii ya mikunde lenye aina nyingi za matumizi; ni zao linalofaa kwa chakula cha binadamu na wanyama na pia ni zao la biashara. Zao hilo lina kiasi kingi cha protini yenye ubora wa hali ya juu kuliko kiasi kilichopo katika aina nyingine ya mazao ya mimea.ZK  taasisi inayojishughuliza na uzalishaji wa bidhaa za vyakula lishe na mimea na matunda, vinavyoweza kutiba magonjwa mbalimbali wamezalisha maziwa ya Soya ambayo yana  kiasi cha protini inayozidi hata kiasi cha protini katika nyama, mayai na maziwa. Hii inamaanisha kuwa maziwa ya soya ni chanzo rahisi na cha bei nafuu cha protini hasa kwa watu wenye kipato kidogo ambao hawawezi kumudu gharama za vyanzo vingine vya protini kama nyama, maziwa na samaki. Aidha, maziwa ya soya yanaa mafuta bora yasiyo kuwa na lehemu (cholesterol). Uwingi na ubora wa protini katika maziwa ya soya yanaweza kuondoa utapiamlo hususani kwa watoto na kuwaongezea ng

JE WAZIJUA DALILI ZA WATU WASIOPENDA MAENDELEO YAKO?

*DALILI 10 KUWA WEWE NI MVIVU* *1. Uko busy sana lakini "For Nothing"* Ikifika jioni unajikuta umechoka sana. Lakini ukijitafakari tangu asubuhi huna cha maana ulichokifanya. Na tangu asubuhi ulikua " bize" sana. Huenda ulishinda Whatsapp, Facebook, Instagram, etc una"post" na ku"like" tu. *2 Una kazi nyingi sana Jumapili* Wakati Jumapili ikiwa ni siku ya mapumziko kwa watu wengi ili waianze wiki inayofuata wakiwa fresh, kwa mtu mvivu ni tofauti. Atakuta mrundikano wa kazi zote zinatakiwa kufanyika Jumapili. *3 Kuna kitu kinakuambia kuwa unajirudisha nyuma mwenyewe* Kama unahisi kila muda unajilaumu, kuwa why hukufanya hiki, why hukufanya kile, ni nini kimetokea? Imekuaje? Na kuanza kujilaumu mwenyewe kwa uzembe huo, basi jua kuwa wewe ni *Mvivu*. *4 Una sababu zaidi ya 76 za kutofanya mazoezi* Unajua kuwa mazoezi ni muhimu kwa ajili ya afya yako, lakini wewe mwenyewe unajipa "vijisababu" vingi sana vya kuacha mazoezi. Hii ni d

Lijue tatizo la Ugumba kwa akina mama

Ugumba wa mwanamke unasababishwa na nini? Ugumba wa mwanamke ni hali ya mwanamke kushindwa kupata mimba. Kama kwa wanaume kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha ugumba wa wanawake. Ili mwanamke aweze kupata mimba, vitu vingi lazima vitokee. Lazima yai lipevushwe, lazima yai lii ngie kwenye mrija wa kupitisha yai ambapo mimba hutungwa, tena lazima yai lililorutubishwa lifikie kwenye mfuko wa mimba na mwishoni lazima utando ndani ya mfuko wa uzazi uandaliwe. Endapo yoyote kati ya hali hizi hazitafikiwa kwa sababu fulani, mimba haiwezi kutunga. Sababu za kutopevuka yai mara nyingi ni mfadhaiko wa kiakili na kisaikologia na sababu za kuziba mrija wa kupitisha yai mara nyingi ni magonjwa ya zinaa. Wanawake wengine wamepata ugumba kutokana na kujaribu kutoa mimba, matokeo yake wameziharibu kabisa sehemu za ndani za viungo vya uzazi. Bahati mbaya, hali nyingi katika hizi haziwezi kurekebishwa na wanawake wanabaki wagumba wa kudumu. Kuna mambo mengine yanayosababisha ugumba wa muda. Mambo

JE WALIJUA TATIZO LA FIBROIDS KWA AKINA MAMA?

TATIZO LA UVIMBE KWENYE UZAZI(FIBROIDS)NI HATARI KWA AKINA MAMA Uvimbe Kwenye Uzazi Mahiri Kama Fibroids. Inasemekana Kati ya 20% hadi 50% ya wanawake walio katika umri wa kuzaa,miaka 30 hadi 50,wana Fibroids. Fibroids ni nivimbe ambazo hujishikiza katika kuta za mfuko wa Uzazi,ndani na nje ya mfuko wa uzazi au kwenye Ovari,Vimbe hizo hukuwa na kuwa na ukubwa tofauti tofauti,unaweza kuwa mdogo kama haragwe au kufikia ukubwa wa tikiti maji. Chanzo Cha Fibroids Sababu hasa za kuota kwa fibroids katika viungo vya uzazi vya mwanamke bado hazieleweki vizuri na inaaminika kwamba kila uvimbe wa fibroid unatokana na seli ya msuli wa uterus ambayo huwa na tabia ya tofauti na seli nyingine na hivo hukuwa kwa haraka haraka ikichangiwa na uwepo wa homoni ya estrogen. Wanawake wanaokaribia kufikia ukomo wa kupata siku zao za mwezi wanaonekana kuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata fibroids kwa sababu ya kuwa wameishi na homoni ya estrogen kwa muda mrefu zaidi. Wanawake wenye asili ya m

Fahamu chanzo kidogo cha kiharusi

⛔ MUHIMU SANA KWA MAISHA YAKO ⛔ KWA NINI KIHARUSI MARA NYINGI HUTOKEA BAFUNI AU 🚾CHOONI ? Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza 🚿kuoga! Ni makosa makubwa haya, hii inasababisha kubadilisha hali ya ujoto katika mwili wako haraka sana (na miili yetu ina Damu ya ♨moto) na hivi  kufanya mishipa ya Damu inayopeleka kwenye ubongo kuchanika na kupasuka na inahatarisha kwa binaadamu kupata kiharusi kwa haraka sana. Njia ya kweli ya mtu kuoga ni kuanza kutia maji katika mwili au miguu kwanza kabla ya kichwa ili kuweza kuupa mwili uzowefu na kufanya usawa katika ujoto wa Damu. Sambaza kwa wote uwapendao ili InshaAllah kunusurisha binaadamu kwa maradhi haya mabaya.

AINA 9 ZA KIFUNGUA KINYWA ZINAZOSAIDIA KUPUNGUZA UZITO

 Pengine ulikuwa hujawahi kusikia au kufahamu kama unaweza kupunguza uzito bila hata kutumia madawa ya Hospitali. Zifuatazo ni dondoo kuhusiana na kupunguza uzito. 1.Juisi ya  mchanganyiko wa ndizi na mizabibu. Kifungua kinywa hiki kilaini kinawafaa wote akina mama na akina baba ambao wana tatizo la uzito uliopita kiasi, kinywaji hiki kitakusaidia kupunguza uzito kwa mda mfupi. Juisi hii ni rahisi kuiandaa nyumbani mda wa asubuhi maana haihiyaji gharama kubwa ya uandaaji. Kifungua kinywa hiki kina virutubisho vya afya kama vile nyuzinyuzi(fiber), Vitamin A&C, Kabohaidreti, Kalsiamu, Sodiamu, Protini na madini ya Chuma. 2. Mchanganyiko laini wa juisi ya komamanga(pomegranate) na tunda nyanya(strawberry). Tunda nyanya na komamanga yote ni matunda ya msimu hivyo mda wake ukifika inatakiwa tuyatumie sana mda wa asubuhi kwa kutengeneza juisi ya matunda haya kwa ajili ya kupunguza uzito. Matunda yote haya yana viini lishe ambavyo vina uwezo wa kukinga seli za mwili zis