DONDOO ZA AFYA........!!!!
MAAJABU YA SOYA MWILINI.
MAAJABU YA SOYA MWILINI.
Soya ni zao la jamii ya mikunde lenye aina nyingi za matumizi; ni zao linalofaa kwa chakula cha binadamu na wanyama na pia ni zao la biashara. Zao hilo lina kiasi kingi cha protini yenye ubora wa hali ya juu kuliko kiasi kilichopo katika aina nyingine ya mazao ya mimea.ZK taasisi inayojishughuliza na uzalishaji wa bidhaa za vyakula lishe na mimea na matunda, vinavyoweza kutiba magonjwa mbalimbali wamezalisha maziwa ya Soya ambayo yana kiasi cha protini inayozidi hata kiasi cha protini katika nyama, mayai na maziwa.
Hii inamaanisha kuwa maziwa ya soya ni chanzo rahisi na cha bei nafuu cha protini hasa kwa watu wenye kipato kidogo ambao hawawezi kumudu gharama za vyanzo vingine vya protini kama nyama, maziwa na samaki. Aidha, maziwa ya soya yanaa mafuta bora yasiyo kuwa na lehemu (cholesterol). Uwingi na ubora wa protini katika maziwa ya soya yanaweza kuondoa utapiamlo hususani kwa watoto na kuwaongezea nguvu kwa wagonjwa ikiwa ni pamoja na wale wanaoishi na Virusi Vya UKIMWI (VVU) na wagonjwa wa UKIMWI na magonjwa mengine.
Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kuwa kutumia maziwa ya soya kunapunguza athari za kansa ya matiti kwa wanawake, magonjwa ya moyo na kisukari. Maziwa ya wa soya hutumika kifungua kinywa au chai kupitia soya unaweza kutengeneza kahawa ya soya isiyo na kilevi (caffein).
Maziwa ya soya ni moja ya chakula chenye vitamin ya kutosha mwilini ikiwa ni pamoja na vitamin A, B C, D. E, F, G, H, na K .Kutokana na ubora na ladha maridadi ya soya ilipelekea watu wa zamani katika jamii zetu kutumia chakula hiki kama mbadala wa nyama, mayai na mafuta .
Ndiyo maana maeneo mengine huita “maini”. Sanjali na hayo .
Maziwa ya soya huboresha afya ya Ubongo na maini , hii inatokana na uwepo wa ‘glycelin’ pamoja na ‘fatty acid’ .Lakini pia ni muhimu sana kwa ajili ya mishipa ya fahamu.
1. Hatahivyo maziwa ya soya hutibu vidonda vya tumbo, saratani na husaidia kumpatia nafuu mgonjwa wa kisukari na wale wenye kusumbuliwa na matatizo ya kibofu pamoja na figo.
2. Hutibu tatizo la utapia mlo, Maeneo mengi ikiwemo Asia hutumia maziwa ya soya kuwalisha watoto ili kuondoa uwezekano wa tatizo hili lakini pia ni muhimu kwa afya ya wazee,
3. Maziwa ya soya yana utajiri mwingi wa protini, kuliko jamii ya mikunde kama njegere, maharage.
4. Maziwa ni muhimu sana kwa ajili ya afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume.
5. Lakini pia mafuta ya soya yanapotumika kwa kupakwa kichwani huondoa mba na ukurutu nk.
Vitamini A kuona zaidi, Vitamini B kuboresha afya ya ngozi vitamin C husaidina mwili kuimarisha mifupa, ufahamu na ubongo kufana kazi ipasavyo. Vitamini D - husaidi kusharabiwa mwilini kwa madini ya kalshamu na kuimarisha mifupa na meno. Vitamin E kunawirisha
KUJIPATIA NAKALA YA KITABU CHA #AFYA AU Kwa mahitaji ya bidhaa za soya / kujifunza tuma ujumbe AFYA kwenda Namba 0769380126. UNAWEZA KUTUPIGIA SIMU PIA KWA NAMBA HIYO HIYO 0769380126.
Comments