Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2017

Rais wa Ufilipino Duterte amewaonya Trump na Kim Jong-un kuwa wanataka kuangamiza Dunia

Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amemtumia onyo kali rais wa Korea Kaskazini na kumuonya vikali Rais Donald Trump. Rais Duterte ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mashariki mwa Bara la Asia (Association of Southern East Asian Nations- ASEAN) alimpigia simu Rais Donald Trump mapema siku ya jumamosi jana jioni . Alisikika kwa uoga wake wa uwezekqno mkubwa wa kuweza kutokea vita ya nyuklia na hasa nchi yake ikiwa karibu sana na hizo nchi mbili zenye mzozo . Rais Duterte alisema kwa namna hiyo basi watakuwa wahanga wakubwa kama vita hiyo itatokea , aliongeza na kusema kuwa na vita ni lqzima mmojq wao atakosea na kuweza kuishambulia mpaka nchi yake na kwa namna yoyote ile wanaweza kuleta majanga ma kubwa hasa Catastrophe. Rais Duterte alisema ni bora vita hiyo isitokee na hata kama ikitokea alimwambia Donald Trump asiichezee mikononi mwake au nchini mwake Trump.Maana

US President Donald Trump he is not ready to fight

Sir Trump REFUSES to rule out WAR with North Korea as he praises China for pressuring Kim express.co.uk Apr 30, 2017 6:05 AM PRESIDENT Trump has refused to rule out the possibility of a military response to North Korea’s ongoing threats and insisted he “will not be happy” if Kim Jong-un conducts another missile test. Trump praised Chinese president Xi Jinping as he reiterated the prospect of war with North Korea Pyongyang conducted  another missile test early on Saturday morning in clear defiance of the international community’s warnings after Trump said a “major, major conflict” with North Korea is possible, on Thursday. The launch of the missile, which reportedly broke into pieces shortly after it was fired, marks North Korea’s fourth successive failed missile test, but fears are still looming in regards to Kim Jong-un’s nuclear capability. Shortly after the hermit kingdom’s launch, the US President tweeted: "North Korea disrespected the wishes of China & its highl

Afya ya ubongo wa binadamu

Habari wapendwa, ``` Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha.``` _ Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika kwa sababu kuamka ghafla kuna kuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu ._ * USHAURI :* * Tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo :-* *1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika .* *2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika .* *3. Shusha miguu , kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika .* Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosefu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi , hivyo inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla . ```Shirikisha marafiki na jamaa.``` *

Maajabu ya kitunguu Saumu

Pengine ulikuwa hujawahi kujua kama hapa duniani tulikabidhiwa mimea tuitunze lakini katika mimea tuweze kupata chakula, sasa leo napenda nikupe dondoo kuhusu na maajabu ya kutumia kitunguu saumu, karibu sana. Sasa anza kuyafahamu maajabu ya vitunguu saumu. Hutumika kama dawa pale inapotokea kuna mtu ana msongo mkali sana wa mawazo akikitumia tu kitunguu saumu basi ataanza kurejesha furaha na amani yake kwa huamsha hisia za kufurahi na watu wengine. Lakini pia hutumika kutibu magonjwa mengi kwa kiasi kikubwa na kwa mda kidogo huwezi ukalinganisha na vidonge vinachukua mda mrefu sana na huwa vinaacha sumu mwilini baada ya matumizi. Hurudisha hali ya awali kwa mtu ambaye alikuwa na homa anapata nafuu kwa haraka na baadae kupona kabisa. Husaidia kazi kwenye Ini na kuongeza kinga ya mwili. Kitunguu saumu husaidia Ini katika kazi zake za kila siku za usafishaji wa damu na hivyo basi huongeza kinga ya mwili zaidi na nguvu zaidi katika mfumo huo wa kupambana na bakteria na virusi mbal

Kazi Kazi

Kazi BARAZA LA MITIHANI LATANGAZA FURSA KWA VIJANA (TENDA), BONYEZA HAPA KUJUA ZAIDI >>> http://www.kijiwe.co.tz/2017/04/national-examinations-council-of.html

Jeshi la Korea Kaskazini, je ni imara?

Wachambuzi wa masuala ya kimataifa kupitia Televisheni ya The Fox wamechambua kuhusu silaha zilizoonyeshwa siku ile zilikuwa ni silaha kweli au zilikuwa fake, mchambuzi huyo Pregent amesema zile silaha zilikuwa fake na Kim Jong-un alifanya hivyo kwa makusudi ili askari wake wasije wakajidhuru hapo walipokuwa wakionyesha ukakamavu kwenye paredi , pia Pregent amegusia kuhusu hao wanajeshi walikuwa ni makomando au recruiter amesema hao ni makomando wote , lakini licha ya kuwa ni komando au sio komando na suala la silaha feki yasichukuliwe kama mambo ya kawaida kwani vita ni vita na sio ya siku moja maana itaacha madhara makubwa sana. Despite the fakes, a reason to fear There may be questions about North Korea’s capabilities when it comes to effectiveness on the ground, ballistic missiles and even nuclear capabilities, but experts agree that the artillery units being tested this week present a clear and present dan