Pengine ulikuwa hujawahi kujua kama hapa duniani tulikabidhiwa mimea tuitunze lakini katika mimea tuweze kupata chakula, sasa leo napenda nikupe dondoo kuhusu na maajabu ya kutumia kitunguu saumu, karibu sana.
Sasa anza kuyafahamu maajabu ya vitunguu saumu.
Sasa anza kuyafahamu maajabu ya vitunguu saumu.
- Hutumika kama dawa pale inapotokea kuna mtu ana msongo mkali sana wa mawazo akikitumia tu kitunguu saumu basi ataanza kurejesha furaha na amani yake kwa huamsha hisia za kufurahi na watu wengine.
- Lakini pia hutumika kutibu magonjwa mengi kwa kiasi kikubwa na kwa mda kidogo huwezi ukalinganisha na vidonge vinachukua mda mrefu sana na huwa vinaacha sumu mwilini baada ya matumizi.
- Hurudisha hali ya awali kwa mtu ambaye alikuwa na homa anapata nafuu kwa haraka na baadae kupona kabisa.
- Husaidia kazi kwenye Ini na kuongeza kinga ya mwili. Kitunguu saumu husaidia Ini katika kazi zake za kila siku za usafishaji wa damu na hivyo basi huongeza kinga ya mwili zaidi na nguvu zaidi katika mfumo huo wa kupambana na bakteria na virusi mbalimbali.
- Lakini pia hutumika kama kiungo cha kuongeza radha kwenye vyakula vyetu, unashauriwa utumie kitunguu Saumu kila siku kila mlo.
😑🌹⭐⭐⭐⭐⭐ Angalizo Usitumie hiki kitunguu ukiwa na njaa sana alafu ukakichanganya na asali inakuwa sumu kali sana baada ya mda mfupi.
Asanteni wote, karibuni tena somo linalofuata usikose!
©ReubenHabariTz
April, 2017
Comments