Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Reuben World News

Ndege ya Ukraine yaanguka Iran ikiwa na abiria 180, Abiria wote wafariki

Ndege ya Ukraine aina ya Boeing-737 iliyokuwa na abiria 180 imeanguka Iran, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Watoa huduma wa msalaba mwekundu wa Iran wanasema kuwa hakuna dalili yeyote kama kuna mtu aliyepona katika ajali hiyo. Ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la kimataifa la ndege la Ukraine ilianguka muda mfupi baada ya kuanza safari katika uwanja wa ndege wa Imam Khomeini mjini Tehran. Ripoti za awali zinadai kuwa ndege hiyo ilikuwa safarini kuelekea mji mkuu wa Ukraine, Kyiv.  Haijabainika ikiwa ajali hiyo ina uhusiano wowote na mzozo wa Iran-na Marekani. Kikosi cha uokoaji tayari kimetumwa katika eneo la tukio karibu na uwanja wa ndege, eneo ambalo ndege lilianguka. Credit: GettyImage " Ndege imeshika moto na tumetuma kikosi huko ... ," kiongozi wa huduma za dharura Pirhossein Koulivand,ameviambia vyombo vya habari ambapo Reuters imeripoti. Je tutegemee machafuko zaidi kutokea? Endelea kuwa pamoja nasi bega kwa bega, mshirikishe na mwenz...

Sheria ya kusajili blog yafutwa na Mahakama Kuu Kenya

Mahakama nchini kenya imetupilia mbali sheria mpya ya mitandao ya kutaka vyombo vya habari vya mitandao zikiemo blog kusajiliwa. Chama cha Wanablogu wa Kenya (BAKE) na Umoja wa Kenya wa Waandishi wa Habari (KUJ) kwa mafanikio waliomba rufaa kuzuia sheria hiyo   ambayo ilisainiwa  na Rais Uhuru Kenyatta wiki mbili zilizopita Jumanne, hakimu wa mahakama ya juu Chacha Mwita aliorodhesha vipengele 26 vya sheria hiyo   ambavyo vitaathiri haki na uhuru wa msingi wa kujieleza.  Mkurugenzi wa BAKE James Wamathai alisema: "vipengele hivi vinatakiwa kudhibiti habari za uwongo lakini kwa bahati mbaya hiyo ni kinyume na katiba ... kuna sheria zilizopo za kukabiliana na kesi wakati mtu amelala, hatuhitaji hili." Nchi nyingine za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania   zimepitisha sheria ambazo wanaharakati wanalalamika kuzuia uhuru wa kujieleza. Mnamo Aprili, Uganda ilitangaza mipango ya kutoza kodi watumiaji wa vyombo vya habari vya mitandaoni.

Rais wa Ghana Asimamishwa Kazi na Majaji

Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amewasimamisha kazi majaji wanne wa mahakama kuu, baada ya kunaswa kwenye mkanda wa video wakipokea rushwa na mwingine akitaka rushwa ya ngono, ili kushinikiza uamuzi wa kesi.

France Chaos in Paris Opera knife attack, one man killed and 4 injured

One killed, 4 others injured in Paris knife attack: police The incident took place in Opera district of central Paris, and the site was about 400 meters away from Paris Opera House. PARIS - A man randomly attacked bystanders with a knife on Saturday night in central Paris, Paris prefecture confirmed. "Five people in the 2nd district of Paris were attacked by an individual armed with a knife," the prefecture tweeted. "One victim died. Two were seriously injured and two were wounded slightly," it added. The knife attacker, not identified yet, was shot dead by police. The incident took place in Opera district of central Paris, and the site was about 400 meters away from Paris Opera House. French Interior Minister Gerard Collomb denounced "heinous act" and praised police "composure" and swift reaction to neutralize the attacker. Citing a police source, French newspaper Le Figaro reported that the operating mode of the attacker, who shouted so...

R. Kelly has Accused for Sexually Abusing Minor, See What Next!

Photo by Michael Loccisano/Getty Images Spotify has announced that it will no longer promote the music of R. Kelly,  Billboard reports . Kelly’s music will remain available on the streaming service, but it won’t appear on any of the playlists that Spotify curates. The change comes under Spotify’s new  Hate Content & Hateful Conduct policy , which it developed in partnership with advocacy groups, including the Southern Poverty Law Center, the Anti-Defamation League, Color of Change, Showing Up for Racial Justice (SURJ), GLAAD, Muslim Advocates, and the International Network Against Cyber Hate. Under this new policy, Spotify says it will remove content that “expressly and principally promotes, advocates, or incites hatred or violence against a group or individual based on characteristics, including, race, religion, gender identity, sex, ethnicity, nationality, sexual orientation, veteran status, or disability.” Kelly’s music falls under the policy’s “hateful conduct by ...

Mzee wa Miaka zaidi ya 100 aomba kuuliwa kwa sindano ya sumu.

Kesho, madaktari wanatarajiwa kuweka sindano iliyojazwa dawa ya sodium pentobarbital katika mshipa wa Mwanasayansi huyo mkongwe duniani na kumuacha aisukume mwenyewe kwenda mwilini mwake. David Goodall amelazimika kusafiri kutoka Australia mpaka Basel, Uswisi kukifuata kifo baada ya sheria za kwao kutomruhusu kufanya hivyo. Akihojiwa na shirika la utangazaji la Marekani CNN, Goodall amesema maisha yake hayana thamani tena ndio maana ameamua kuomba kujiua akiamini hadithi yake itakuwa mfano na kuhamasisha uamuzi kama huo kwa wengine waliochoka kuishi. Katika mahojiano David Goodall amenukuliwa akisema " Natamani ningekuwa na uwezo wa kutembea mashambani na kuona vitu vinavyonizunguka. "Katika umri huu naamka asubuhi, nakunywa chai. Nasubiri mchana nile halafu sina cha kufanya tena. Maisha ya aina hii ya kazi gani? Goodall aliyezaliwa katika Jiji la London Aprili 1914, anatarajia kufa akiwa na miaka 104 ambapo ameweka wazi kuwa maisha yake yalisimama miak...

Ethiopia Watangaza kununua Bombardier Q400, 10

Shirika la Ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines), limetangaza kununua ndege 10 aina ya Bombadier Q400, kwa gharama ya USD 332 milioni, lengo likiwa ni kupanua soko lake barani Afrika. Ndege hizo zimelengwa kwenda katika maeneo ambayo viwanja vyake haviwezi kuhimili ndege kubwa.

Tuzo ya Fasihi ya Nobel Yasitisha Kutolewa, Fuatilia kwanini isitishwe?

Tuzo ya Fasihi ya #Nobel imesitishwa kutolewa kwa mwaka huu, kutokana na Taasisi ya Utamaduni ya Shule ya Mafunzo ya #Sweden inayohusika na utayarishaji wa tuzo hizo, kukumbwa na kashfa ya kimapenzi na uchumi. Kusitishwa huko hakutaathiri utoalewaji wa tuzo nyingine za Nobel. Kwa habari nyingine bonyeza kwenye maandishi haya ya bluu hapa

Safari ya Mwisho ya Wenger Dimbani kama Kocha

Arsene Wenger leo ataingia katika dimba la Arsenal (Emirates) kwa mara ya mwisho akiwa kocha wa timu hiyo. Wenger atastaafu mwishoni mwa msimu huu baada ya kuifundisha klabu hiyo kwa miaka 22. Arsenal iliyopo nafasi ya 6 leo itacheza dhidi ya Burnley.

Tanzania Yakataa Kudai Fidia kwa Utawala wa Wajerumani

Serikali ya Tanzania imekataa wito kutoka kwa wadau mbalimbali wakiitaka iidai Ujerumani fidia kutokana na uharibifu uliofanyika wakati ikiitawala, kati ya mwaka 1885 hadi 1918. Waziri Balozi Mahiga amesema, kuna njia bora kwa nchi hizo mbili kusaidiana, kuliko kudai fidia.

Burundi Yavifungia Vituo vya VOA na BBC

Burundi imevifungia kwa miezi 6 kuanzia Mei 7, 2018 vituo vya utangazaji, BBC na VOA kwa kukiuka sheria na kuvunja maadili ya utangazaji. Zuio hilo limekuja ikiwa zimebaki wiki 2 kabla ya kufanyika kura ya maoni zitakazomuwezesha Rais Nkurunziza kusalia madarakani hadi 2034.

Korea Kaskazini Yabadili Majira ya Saa, Angalia Sababu ya Kubadili Majira Hayo.

Korea Kaskazini imebadili muda wake (time zone), ili uendane na wa Korea Kusini ikiwa ni jitihada za kuchochea muungano kati ya nchi hizo mbili. Saa za Korea Kaskazini zilisogezwa mbele kwa dakika 30, baada ya kufanyika mkutano kati ya nchi hizo mbili wiki iliyopita. Wiki iliyopita marais hawa wawili walikutana na kuteta mambo ya kiusalama. Jambo la kukutana liliushangaza ulimwengu wote kwani walikuwa hawaelewani kabla kutokana na mizozo mbalimbali ya kiitikadi, na kiusalama zaidi.

Mke wa Bush afariki dunia.  

Washington, Marekani. Barbara Bush, mke wa aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani na mwanaharakati amefariki akiwa na umri wa miaka 92. Ndiye aliyekuwa nguzo ya kisiasa ya marais wawili wa Taifa hilo, George HW Bush ambaye ni mumewe na mwanawe George W Bush. Barbara aliyekuwa mke wa rais mwaka 1989 hadi 1993 aalikuwa mgonjwa kwa kwa muda mrefu na alikataa kupatiwa matibabu. Rambirambi zimekuwa zikitumwa nchini Marekani kutoka maeneo mbalimbali duniani. Mumewe George HW Bush ana miaka 93. Mtoto wake George W Bush aliingia madarakani mwaka 2000 na kuongoza mihula miwili akiwa Rais wa 43 wa Marekani. "Mama yangu mpendwa ametuacha akiwa na umri wa miaka 92. Laura, Barbara, Jenna nami tunaomboleza lakini roho zetu zimepumzika kwa sababu tunajua yake pia imepumzika," amesema George W Bush katika rambirambi zake.

UINGEREZA NA UFARANSA KUSHAMBULIA NCHINI SYRIA BILA YA IDHINI YA UMOJA WA MATAIFA.

KISA CHA MAREKANI UINGEREZA NA UFARANSA KUSHAMBULIA NCHINI SYRIA BILA YA IDHINI YA UMOJA WA MATAIFA. Mapema 14 April 2018 Marekani Uingereza na Ufaransa zilifanya mashambulizi ya kijeshi nchini Syria zikitumia ndege za kivita. Habari toka vyombo mbalimbali vya habari vililipoti kuwa jumla ya makombora 103 yalivyatuliwa yakiwa yamelenga maeneo mbalimbali lakini makombora 71 yalinduguliwa angani na majeshi ya Syria kabla hayajagonga sehemu yaliyokuwa yamelengeshwa. Vifaa vya ulinzi vya anga vilivyotumika kuyadungua makombora yaliyokuwa yamerushwa na Ndege za Marakani na washirika wake ni Vifaa vya ulinzi wa anga vya Urusi aina S-200. Hata hivyo vifaa hivi vya S-200 ni vifaa vya nyuma sana kwani Urusi kwa sasa ina vifaa vingine bora zaidi ambavyo ni S-300 S-400 na S-500 ambavyo havikutumika kujikinga na mashambulizi haya ya Marekani Uingereza na Ufaransa nchini Syria. Baada ya mashambulizi haya ambayo hayakuwa na madhara makubwa kutokana na makombora mengi kuripuliwa yakiwa hayajagonga ...

Man cuts off genitals after girlfriend mocked his ‘small penis’

A CHINESE student chopped off his genitals after his girlfriend mocked him for having a small penis. Footage shows the young man wearing nothing but a T-shirt, calmly standing outside Guangdong Peizheng College in south-eastern China. Many students flocked to take photographs and film the man who was later rushed to hospital. The college has now stepped in to try and stop rumours circulating on social media. One social media conversation suggested the student took drastic measures after arguing with his girlfriend. Another claimed he castrated himself after an unidentified young woman made disparaging comments about his endowment. The young man was said to be in a "sober state of mind", but there is no further information about his current condition. The college could not confirm why he decided to hurt himself. In a brief statement confirming that he had injured himself and that he was taken to hospital after the college was notified about what had happened. This har...

UN yasimama kidete dhidi ya vita vya Syria

UN nayo haijanyamazia hatua hizi zinazoendelezwa na wababe wa dunia Kutokana na kuongezeka kwa hali ya wasiwasi kuhusu mvutano huo wa Syria, mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa utafanyika baadae leo. Mkutano huo utakuwa wa faragha. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema hadi sasa Baraza la Usalama la umoja huo limeshindwa kufikia makubaliano ya kidiplomasia kuhusu Syria na amezitaka nchi wanachama wa kudumu wa baraza hilo kufikiria upya kwa kina na kuchukua hatua zitakazofaa ambazo hazitaongeza zaidi makali katika mzozo wa Syria. Nchi hizo ni pamoja na Marekani, Urusi, China, Ufaransa na Uingereza. Urusi na Marekani hadi sasa zimepiga kura ya turufu kupinga azimio la kila mmoja la kutaka kuanzisha uchunguzi wa kimataifa kuhusu matumizi ya silaha za sumu. Jana jioni Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Jim Mattis pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA, Mike Pompeo walikutana katika Ikulu ya Marekani kujadiliana kuhusu hali ya ...

Vita vya Syria Mbioni Kusababisha Vita Ya Tatu ya Dunia. Marekani na Urusi Hawaelewani Tena!

VITA vinavyoendelea nchini Syria vilivyodumu kwa miaka mitano sasa viko mbioni kuiingiza dunia yetu katika Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia. Wakubwa wa Dunia yetu, Marekani na Urusi, wanaonekana kutofautiana kwa kiasi kikubwa ambapo sasa Marekani anasema hataki tena mazungumzo na mwenziwe Urusi kuhusu suluhisho la mgogoro wa Syria kwa njia ya amani bali anaangalia "Njia Mbadala" ya kumaliza mgogoro huo. Je, njia hiyo ni ipi? Urusi yeye anadai yupo nchini Syria kwa mwaliko wa Rais Bashar Al Assad ili kumsaidia kupambana na makundi ya kigaidi yanayotishia utawala wake. Marekani kwa upande wake anaunga mkono kundi linalojiita Free Syrian Army kwa lengo la kumng'oa Rais Bashar Al Assad madarakani, ingawa wachambuzi wa mambo wanadai makundi yote ya kigaidi yanayopigana nchini Syria dhidi ya serikali ya Rais Bashar Al Assad, likiwemo kundi la Al Qaeda, yaliundwa na yanafadhiliwa na Marekani na nchini nyingine za Magharibi. Urusi tayari ina zana za kutosha nchini Syria yakiwemo m...

Ujumbe wa Mwisho kwa Dunia aliotoa Stephen Hawking Kabla Hajafa, Ukisoma Usilie!

One of Hawking's Last Messages For Humanity Was a Warning We Should All Heed His mind saw our Universe differently. If Stephen Hawking was a star, he'd have gone out like a supernova. Not one to fade into retirement quietly , the famous physicist's predictions were a constant feature of front page news until the very end , leaving us to question which of his warnings were profound words of wisdom, and which were the nervous concerns of a celebrity scientist. But whether you agree with them or not, these five warnings will rightfully keep humanity talking for years to come. 1. Humanity is on a path to either disaster or the stars. There are a lot of words we could use to describe Stephen Hawking. It's hard to know if 'optimistic' is one of them. "We face a number of threats: nuclear war, global warming and genetically engineered viruses," Hawking told Radio Times in 2016, according to Sarah Knapton at The Telegraph . "Although the chance of...

Simanzi kubwa kwa Dunia, vita ya Syria na Urusi

Wakati rais wa nchi ya Urusi Vladimr Putin akiwa anasisitiza kusimamishwa kwa mapigano angalau kwa saa 5 kila siku ili kutoa msaada kwa wanadamu wanaodhulika na vita kati ya wapiganaji wa Syria na wanamgambo wasiotaka suluhu. Lakini kuna maumivu yanayowapata wanadamu hasa watoto, wazee, na akina mama wasiojiweza kufanya lolote. Wiki hii luna kikao kilichokuwa kinaendelea ambacho walikiita 'HUMANITARIAN PAUSE' kwa ajili ya kupunguza mapigano kati ya waasi na wapiganaji wa majeshi ya Syria. Lakini bado vita hivi vinaacha majanga makubwa sana kwa maisha ya mwanadamu. Dunia imeshtushwa na picha Hii ya kuhuzunisha ya kijana wa miaka  Minne (4) ,aliyekuwa akihama kutoka Syria kwenda Jordan. Maofisa wa UNHCR walikutana naye akitembea kwa miguu peke yake jangwani kutoka Syria akielekea Jordan.  Kitu pekee alichokuwa amebeba ni mfuko wa plastic, maarufu Kama Rambo, ambamo ndani yake Mlikuwa na nguo za marehemu mama yake na dadake ambao waliuawa Syria. Maofisa hao wa...

20-year-old pornstar found dead in Las Vegas home

20-year-old porn star Olivia Nova was found dead Sunday at a home off of Alta and Fort Apache. The cause of her death is unknown, but there is no homicide investigation. (Photo provided) LAS VEGAS (KSNV) —  A 20-year-old porn star was found dead in a Las Vegas neighborhood over the weekend. Her cause of death is still a mystery. The Las Vegas Metropolitan Police Department says Alexis Forte -- better known as Olivia Nova -- was found dead inside a home in a gated community. Police say Las Vegas Fire called them with the discovery. The 20-year-old up-and-coming pornstar was found dead Sunday morning, just after 9 a.m. near Alta and Fort Apache. Police tell us they found no suspicious circumstances surrounding Nova's death. The Clark County coroner picked up the Minnesota native's body, and at this time, says her cause of death has not been determined. Nova just launched her career in March of 2017. The adult film industry considered her a rising star. Nova had already appe...