Mambo vipi watu wangu wa nguvu! Nakuletea highlight ya mchezo,wa jana kwa timu ya Man United dhidi ya Sevilla ambapo Man United walikuwa ugenini walipambana na kutoka kwa matokeo ya sare ya bila kufungana. Mechi ya Shacter Donestc ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani iliwachapa FC Roma mabao mawili kwa moja 2:1 japo timu ya Roma walikuwa wa kwanza kupata goli lakini vijana wa Shacter waliongeza goli la pili katika mchezo huo. Angali ratiba ya mechi zijazo kwenye msimu huu wa La liga 2018
Usipitwe na Habari za Kila Kona ya Dunia.