Habari wapendwa,
```Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha.```
_Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika kwa sababu kuamka ghafla kuna kuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu._
*USHAURI:*
*Tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo:-*
*1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika.*
*2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika.*
*3. Shusha miguu, kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.*
Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosefu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi, hivyo inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.
```Shirikisha marafiki na jamaa.```
*```Hii inatokea bila kujali umri.```*
Kushare ni kujali. Kama tayari ulikuwa unajua hii ichukulie kama kumbukumbu.,
Comments