⛔MUHIMU SANA KWA MAISHA YAKO⛔KWA NINI KIHARUSI MARA NYINGI HUTOKEA BAFUNI AU 🚾CHOONI ?
Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza 🚿kuoga! Ni makosa makubwa haya, hii inasababisha kubadilisha hali ya ujoto katika mwili wako haraka sana (na miili yetu ina Damu ya ♨moto) na hivi kufanya mishipa ya Damu inayopeleka kwenye ubongo kuchanika na kupasuka na inahatarisha kwa binaadamu kupata kiharusi kwa haraka sana.
Njia ya kweli ya mtu kuoga ni kuanza kutia maji katika mwili au miguu kwanza kabla ya kichwa ili kuweza kuupa mwili uzowefu na kufanya usawa katika ujoto wa Damu. Sambaza kwa wote uwapendao ili InshaAllah kunusurisha binaadamu kwa maradhi haya mabaya.
Comments