Agnes Gerald amefariki leo muda wa mchana alipokuwa akitibiwa katika hospitali ya Dokta Ngoma Jijini Dar es Salaam. Agnes alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kupungukiwa damu na ugonjwa wa mapafu. Agnes Gerald (Masogange) ni Model na Video Queen wa muda mrefu sana Tanzania. Aliwahi kufanya ngoma na mwanamziki Belle 9 Masogange kutokea kwenye huo wimbo Belle 9 alimpatia jina hilo la Masogange. Kutokea kwenye wimbo huo Agnes Gerald alipata umaarufu mkubwa sana Tanzania kwenye Tasnia ya mziki. Learn more, then put them in mind, live it!
Usipitwe na Habari za Kila Kona ya Dunia.