Skip to main content

Posts

Matokeo ya Uchaguzi Kenya

MMNN: Embu County, Uhuru leading with 21 591 votes (91,79%) against Raila's 1 739 votes (7,39%) **** Bomet County, Uhuru leading with 81 423 votes (88,03%) against Raila's 10 348 votes (11,19%) Kitui County, Raila leading with 38 148 votes (81,60%) against Uhuru's 7 704 votes (16,48%) Machakos County, Raila leading with 37 598 votes (83,42%) against Uhuru's 6 845 votes (15,19%) Makueni County, Raila leading with 54 074 votes (91,40%) against Uhuru's 4 459 votes (7,54%) Kajiado County, Uhuru leading with 22 711 votes (52,35%) against Raila's 20 481 votes (47,21%) Narok County, Uhuru leading with 13 178 votes (60,07%) against Raila's 8 601 votes (39,21%) Kiambu County, Uhuru leading with 60 081 votes (94,24%) against Raila's 3 512 votes (5,51%) Muranga County, Uhuru leading with 28 826 votes (97,44%) against Raila's 669 votes (2,26%) Kirinyaga County, Uhuru leading with 37 387 votes (98,51%) against Raila's 417 votes (1,10%) Nyeri Count...

DK. HASSAN ABBAS- UCHUMI WA NCHI UKO IMARA SANA

YALIYOSEMWA NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK . HASSAN ABBAS JUU YA HALI YA UCHUMI WA NCHI ULIVYO SASA “Uchumi wa Tanzania kwa miaka mitatu mfululizo sasa bado uko katika ukuaji usiopungua asilimia 7.0 hadi 7.2 ikiwa ni ukuaji wa juu katika ukanda wa Afrika Mashariki ambapo Rwanda inakua kwa asilimia 6, Uganda asilimia 5 na Kenya asilimia 6.4” -  Dkt. Abbasi. "Sambamba na ukuaji wa uchumi, Tanzania imeendelea kudhibiti mfumuko wa bei ambapo taarifa ya hivi karibuni zilizotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) zinaonesha kuwa mfumuko wa bei nchini umeshuka kutoka asilimia 6.1 mwezi Mei hadi kufikia asilimia 5.4 mwezi Juni mwaka huu" - Dk. Abbas "Takwimu za taasisi ya Quantum Global Research Lab ya Uingereza imeeleza Farihisi ya Uwekezaji Afrika ambazo zilionesha Tanzania ikiongoza miongoni mwa nchi za Afrika Mashariki na ya nane Barani Afrika, ikiwa imepanda kutoka nafasi ya 19 mwaka 2015" - Dk. Abbas “Mashirika ya Kimataifa kama IMF, Benki ya Dunia k...

PUTIN AWAFUKUZA WANADIPLOMASIA 755 WA TRUMP

Putin aagiza wanadiplomasia 755 wa Marekani kuondoka Urusi Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Twitter   HakiAFPImageKufukuzwa wa wanadiplomasia hao kutapunguza idadi hadi 455 Rais wa Urusi Vladimir Putin ameagiza wafanyakazi 755 wa ubalozi wa Marekani nchini Urusi kusitisha shughuli zao kufikia Septemba mosi mwaka huu. Urusi imeidhinisha hatua hiyo kwa ghadhabu kufuatia vikwazo vipya vilivyopitishwa na bunge la Marekani dhidi yake, kwa tuhuma za kuingilia uchaguzi wa taifa hilo mwaka jana. Marekani kwa upande wake, inasema imesikitishwa na uamuzi huo, na inapima athari na kutafakari namna ya kujibu hatua hiyo Marekani yawafukuza wanadiplomasia 35 wa Urusi Bunge la wawakilishi Marekani launga mkono vikwazo dhidi ya Urusi Hatua hii ya Urusi imekuja baada ya vikwazo vipya dhidi ya Urusi kuidhinishwa kwa wingi wa kura na mabunge yote ya congress nchini Marekani Jumanne, licha ya kwamba Ikulu ya White house ilipinga kura hiyo. Rais huyo ...

MFANYABIASHARA MAARUFU NCHINI AFARIKI DUNIA

 #MWANANCHI Mfanyabiashara huyo anamiliki vitega uchumi mbalimbali mkoani hapa ikiwemo hoteli za kitalii za Impala, Naura na Ngurdoto Mountain Lodge. Mfanyabiashara maarufu nchini, Maleu Mrema amefariki dunia jana akiwa kwenye matibabu nchini Afrika Kusini. Akizungumza na Mwananchi ndugu wa marehemu,Vincent Laswai alithibitisha msiba huo akiwa nyumbani kwa marehemu eneo la Uzunguni jijini Arusha. Akihojiwa na gazeti hili Laswai amesema kwamba alipokea taarifa za kifo cha marehemu jana saa 12 jioni na uongozi wa familia utatoa taarifa za kifo cha mfanyabiashara huyo leo. Laswai, amesema kwamba ni mapema kuzungumzia chanzo cha kifo kwa sababu bado hawajapata taarifa kutoka katika hospitali aliyokuwa akitibiwa nchini humo. Hivi karibuni marehemu Mrema alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya ambapo Juni mwaka huu alipelekwa Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu.

KESI YA WABUNGE 8 CUF INATATANISHA.

KESI YA WABUNGE 8 CUF BADO NI NGANGALI . Waraka wa BASHIR YAKUB. +255784482959 Ili wafanikiwe walitakiwa kutumia nafasi kuu tatu. Mosi kufungua kesi na kuzuia kikao cha nidhamu cha Cuf . Pili kufungua kesi kuizuia tume ya uchaguzi kuidhinisha kufutwa na uteuzi wabunge wapya. Tatu  kufungua kesi kulizuia bunge kuwaapisha wabunge wapya wateule. 1.KUZUIA  KIKAO CHA NIDHAM CHA CUF . Kesi nzuri ilitakiwa kufunguliwa mara tu baada ya kupata wito wa kikao cha nidhamu. Hapa wangeweza kufungua kesi kwa hati ya dharula na kufanya maombi madogo ya zuio la muda(temporally injunction). Wangezuia kikao cha nidhamu cha Cuf  na katu  kisingefanyika. 2. KUIZUIA TUME YA UCHAGUZI. Lakini kama wangeshindwa kuzuia kikao cha Cuf pengine kwa kuchelewa ama vinginevyo  bado walikuwa na nafasi ya kufungua kesi na kuomba zuio dhidi ya Tume ya uchaguzi  kuidhinisha kufutwa kwao kwa mujibu wa Ibara 78(4) ya katiba  inayosomwa na kifungu cha 86(8) cha Sheria ya Taifa y...

KUKU ALIYEPELEKWA KWA MGANGA AZALIWA NA MCHEPUKO

Mdada ajifungua kuku huko Zimbabw e Mchepuko a.k.a Demu, alinogewa na penzi la mume wa mtu, Akaamua kwenda kwa Kalumanzila a.k.a.mganga wa jadi ili apate limbwata kali la kupora mume wa mtu...akaambiwa apeleke kuku ili kutengeneza hilo limbwata wakafanikiwa  kulisuka hilo limbwata. Sasa Mwenye mume a.k.a mke wa mtu,akashtukia mchezo mzima na yeye akaenda kwa mganga wa jadi mwingine ili kutegua limbwata hilo akafanikiwa. Kilichotokea ni yule Mchepuko a.k.a mwizi wa waume za watu kunasa mimba. baada ya miezi 9 akaenda hospitali kujifungua akitegemea kumzalia mtoto buzi wake. Sasa huko hospitali akazaa kuku yuleyule kuku aliyempeleka kwa mganga ili kutengeneza limbwata limbwata limedunda limbwata limemrudia. Hilo ni tukio la kweli,...na unaweza kuona polisi nao walifika kutuliza amani kwenye picha nyingine,na kuku aliyezaliwa akiwa kwenye sahani,pamoja na pamba za madokta walizotumia kwenye zoezi la kujifungua huyo mchepuko...   Imeletwa kwenu  na ripota wetu huko...

KIJANA MHITIMU WA CHUO WA MIAKA 22 AMLAWITI MSICHANA WA MIAKA 11 NIGERIA

Kijana wa miaka 22 na mhitimu wa chuo cha Abia State Nigeria faculty ya Historia alikamatwa Jana mchana akiwa anambaka msichana wa miaka 10. Kijana huyu kabla hajafanya kitendo hicho, mnamo mda wa saa 8 mchana alipita nyumbani kwa baba yake na kumsalimia na kuulizia kuhusu biashara za baba yake zinaendaje, kisha akaondoka kuelekea kwake, kabla hajafika kwake alipita nyumbani kwa msichana yule aliyebakwa na kumsalimia........... Baba wa kijana huyu ni Fundi wa kutengeneza Samani za ndani. Kijana huyu alimwambia msichana yule kuwa amemnunulia kandambili mpya kisha akamwambia waende wote chumbani kwake ili akampatie, na walipofika hakumpatia kqnfambili hizo alianza kumshikashika msichana yule kwenye mwili wake na kisha kuanza kumlazimisha kufanya tendo la ngono bila ridhaa yake. Mtuhumiwa alikamatwa na vijana majirani zake waliosikia kelele za msichana yule. Kijana huyu wa miaka 22 akithibitisha kufanya kitendo hicho kiovu alisema ni kweli alimbaka msichana yule. Katika upelelezi il...