Skip to main content

KUKU ALIYEPELEKWA KWA MGANGA AZALIWA NA MCHEPUKO

Mdada ajifungua kuku huko Zimbabwe

Mchepuko a.k.a Demu, alinogewa na penzi la mume wa mtu,
Akaamua kwenda kwa Kalumanzila a.k.a.mganga wa jadi ili apate limbwata kali la kupora mume wa mtu...akaambiwa apeleke kuku ili kutengeneza hilo limbwata wakafanikiwa  kulisuka hilo limbwata.

Sasa

Mwenye mume a.k.a mke wa mtu,akashtukia mchezo mzima na yeye akaenda kwa mganga wa jadi mwingine ili kutegua limbwata hilo akafanikiwa.

Kilichotokea ni yule Mchepuko a.k.a mwizi wa waume za watu kunasa mimba. baada ya miezi 9 akaenda hospitali kujifungua akitegemea kumzalia mtoto buzi wake.

Sasa huko hospitali akazaa kuku yuleyule kuku aliyempeleka kwa mganga ili kutengeneza limbwata limbwata limedunda limbwata limemrudia.

Hilo ni tukio la kweli,...na unaweza kuona polisi nao walifika kutuliza amani kwenye picha nyingine,na kuku aliyezaliwa akiwa kwenye sahani,pamoja na pamba za madokta walizotumia kwenye zoezi la kujifungua huyo mchepuko...

  Imeletwa kwenu  na ripota wetu huko Zimbabwe

Comments

Popular posts from this blog

The court system during colonialism in Tanzania.

Introduction. Pre-colonial Period Administration of justice during this time depended heavily on the social economic and political organization of the society in Tanganyika. Two systems of administration of justice namely; The Centralized and the Non-Centralized systems could be identified at the time. The Centralized Systems was applicable to societies with chiefs who played both roles of adjudicators and that of governors. In the Non-Centralized systems the entire community took part in the adjudication of disputes. However in both systems there were no formalization of procedure in adjudication, the customs of the respective societies prevailed in the process. Colonial Period The German Colonial Period. The Land currently covering Tanzania Main Land, was then included in what was called the German East Africa, it was subjected to the German Colonial Rule from 1886 up to the end of the First Ward War, 1918. During this Germany Colonial Rule the Administration of Justi...

Ndege ya Ukraine yaanguka Iran ikiwa na abiria 180, Abiria wote wafariki

Ndege ya Ukraine aina ya Boeing-737 iliyokuwa na abiria 180 imeanguka Iran, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Watoa huduma wa msalaba mwekundu wa Iran wanasema kuwa hakuna dalili yeyote kama kuna mtu aliyepona katika ajali hiyo. Ndege hiyo inayomilikiwa na shirika la kimataifa la ndege la Ukraine ilianguka muda mfupi baada ya kuanza safari katika uwanja wa ndege wa Imam Khomeini mjini Tehran. Ripoti za awali zinadai kuwa ndege hiyo ilikuwa safarini kuelekea mji mkuu wa Ukraine, Kyiv.  Haijabainika ikiwa ajali hiyo ina uhusiano wowote na mzozo wa Iran-na Marekani. Kikosi cha uokoaji tayari kimetumwa katika eneo la tukio karibu na uwanja wa ndege, eneo ambalo ndege lilianguka. Credit: GettyImage " Ndege imeshika moto na tumetuma kikosi huko ... ," kiongozi wa huduma za dharura Pirhossein Koulivand,ameviambia vyombo vya habari ambapo Reuters imeripoti. Je tutegemee machafuko zaidi kutokea? Endelea kuwa pamoja nasi bega kwa bega, mshirikishe na mwenz...