Skip to main content

Posts

Hiki ndicho chanzo cha Kifo cha Agnes Masogange

Agnes Gerald amefariki leo muda wa mchana alipokuwa akitibiwa katika hospitali ya Dokta Ngoma Jijini Dar es Salaam. Agnes alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kupungukiwa damu na ugonjwa wa mapafu.  Agnes Gerald (Masogange) ni Model na Video Queen wa muda mrefu sana Tanzania. Aliwahi kufanya ngoma na mwanamziki Belle 9 Masogange kutokea kwenye huo wimbo Belle 9 alimpatia jina hilo la Masogange. Kutokea kwenye wimbo huo Agnes Gerald alipata umaarufu mkubwa sana Tanzania kwenye Tasnia ya mziki. Learn more, then put them in mind, live it!

Kigogo wa Bandari Prosper Kimaro Asomewa Mashtaka Leo

Leo April 19, 2018 Meneja wa Fedha wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Prosper Kimaro amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kosa la kujilimbikizia mali zenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.4 zisizolingana na kipato chake halali. Kimaro anadaiwa kumiliki nyumba zenye thamani ya Bilioni 1,178,370,334, zilizopo maeneo ya Temeke DSM na magari 7 yenye thamani Shilingi Milioni 307,364,678.20. Kimaro amesomewa mashtaka yake na wakili wa serikali, Vitalis Peter mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo amedai kuwa mshtakiwa anakabiliwa na kosa moja. Wakili Vitalis amedai mshtakiwa anakabiliwa na kosa la kujilimbikizia mali zisizolingana na kipato chake ambapo anadaiwa amelitenda kosa hilo kwa miaka tofauti kati ya 2012 na 2016. Anadaiwa mali hizo amejilimbikizia maeneo ya Temeke DSM akiwa mtumishi wa umma wa TPA kama Meneja wa Fedha, amekutwa na mali zisizolingana na kipato chake halali cha zamani na cha sasa. Mali hizo ...

Mke wa Bush afariki dunia.  

Washington, Marekani. Barbara Bush, mke wa aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani na mwanaharakati amefariki akiwa na umri wa miaka 92. Ndiye aliyekuwa nguzo ya kisiasa ya marais wawili wa Taifa hilo, George HW Bush ambaye ni mumewe na mwanawe George W Bush. Barbara aliyekuwa mke wa rais mwaka 1989 hadi 1993 aalikuwa mgonjwa kwa kwa muda mrefu na alikataa kupatiwa matibabu. Rambirambi zimekuwa zikitumwa nchini Marekani kutoka maeneo mbalimbali duniani. Mumewe George HW Bush ana miaka 93. Mtoto wake George W Bush aliingia madarakani mwaka 2000 na kuongoza mihula miwili akiwa Rais wa 43 wa Marekani. "Mama yangu mpendwa ametuacha akiwa na umri wa miaka 92. Laura, Barbara, Jenna nami tunaomboleza lakini roho zetu zimepumzika kwa sababu tunajua yake pia imepumzika," amesema George W Bush katika rambirambi zake.

UINGEREZA NA UFARANSA KUSHAMBULIA NCHINI SYRIA BILA YA IDHINI YA UMOJA WA MATAIFA.

KISA CHA MAREKANI UINGEREZA NA UFARANSA KUSHAMBULIA NCHINI SYRIA BILA YA IDHINI YA UMOJA WA MATAIFA. Mapema 14 April 2018 Marekani Uingereza na Ufaransa zilifanya mashambulizi ya kijeshi nchini Syria zikitumia ndege za kivita. Habari toka vyombo mbalimbali vya habari vililipoti kuwa jumla ya makombora 103 yalivyatuliwa yakiwa yamelenga maeneo mbalimbali lakini makombora 71 yalinduguliwa angani na majeshi ya Syria kabla hayajagonga sehemu yaliyokuwa yamelengeshwa. Vifaa vya ulinzi vya anga vilivyotumika kuyadungua makombora yaliyokuwa yamerushwa na Ndege za Marakani na washirika wake ni Vifaa vya ulinzi wa anga vya Urusi aina S-200. Hata hivyo vifaa hivi vya S-200 ni vifaa vya nyuma sana kwani Urusi kwa sasa ina vifaa vingine bora zaidi ambavyo ni S-300 S-400 na S-500 ambavyo havikutumika kujikinga na mashambulizi haya ya Marekani Uingereza na Ufaransa nchini Syria. Baada ya mashambulizi haya ambayo hayakuwa na madhara makubwa kutokana na makombora mengi kuripuliwa yakiwa hayajagonga ...

Diwani na Msanii Baba Levo Ampiga Daktari Kisa Vibarua

​ MSANII BABA REVO AMBAYE NI DIWANI AMPIGA DAKTARI KISA KUCHELEWA KUWALIPA VIBARUA ​ Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini  Mkoani Kigoma Revokatus Kipando maarufu kwa jina la Baba Levo amemdhalilisha kwa kumpiga Dk. wa Zahanati ya  Msufini iliyoko mkoani kigoma   kwa kosa la kuchelewesha kuwalipa vibarua waliokua wanafanya ukarabati katika zahanati  hiyo. Daktari huyo ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema diwani alifika nakuanza kumdhalilisha na kumkashifu kwa kuchelewesha kuwalipa wafanyakazi hao  mbele ya wagonjwa  na kusababisha wagojwa kuondoka pasipo kutibiwa. “Amefika  hapa kwa kufoka, kunitukana , kufanya vurugu ofisini na kanipiga, kisa pesa zilizo nje ya uwezo wangu ambazo zilikua na utaratibu za kufuatiliwa lakini hataki kufuata taratibu za kazi amehatalisha amani ya maisha yangu  na hii siyo mara ya kwanza na yuko kinyume cha sheria,” alisema Daktari huyo. Kwa mjibu wa mashuhuda wa tukio hilo akiwemo  Muugu...

Mwanafunzi Ajikata Uume Baada ya Kuambiwa na Mpenzi Wake Kuwa Ana Kibamia

Mwanafunzi wa Kichina alikata sehemu zake za siri baada ya mpenzi wake kumdhihaki kwa kuwa na uume mdogo. Footage inaonyesha huyo kijana asiyevaa chochote lakini T-shirt, amesimama kimya nje ya Chuo cha Guangdong Peizheng kusini mashariki mwa China. Wanafunzi wengi walikusanyika ili kuchukua picha na video za kijana huyo. Chuo sasa kimeingia ili kujaribu kuchunguza na kuachana na uvumi unaozunguka kwenye vyombo vya habari vya kijamii. Majadiliano moja ya vyombo vya habari vilieleza kuwa mwanafunzi huyo alichukua hatua kali baada ya kuambiwa na mpenzi wake kuwa ana uume mdogo. Mpenzi wake alidai yeye alijihusisha mwenyewe baada ya mwanamke mdogo asiyejulikana kutoa maoni yasiyofaa juu ya mrithi wake. Mvulana huyo alisema kuwa "alichanganyikiwa", lakini hakuna habari zaidi juu ya hali yake ya sasa. Chuo hakikuweza kuthibitisha kwa nini aliamua kujiumiza mwenyewe.  Kwa kauli fupi kuthibitisha kwamba alikuwa amejijeruhi mwenyewe na kwamba alipelekwa hospital...

Man cuts off genitals after girlfriend mocked his ‘small penis’

A CHINESE student chopped off his genitals after his girlfriend mocked him for having a small penis. Footage shows the young man wearing nothing but a T-shirt, calmly standing outside Guangdong Peizheng College in south-eastern China. Many students flocked to take photographs and film the man who was later rushed to hospital. The college has now stepped in to try and stop rumours circulating on social media. One social media conversation suggested the student took drastic measures after arguing with his girlfriend. Another claimed he castrated himself after an unidentified young woman made disparaging comments about his endowment. The young man was said to be in a "sober state of mind", but there is no further information about his current condition. The college could not confirm why he decided to hurt himself. In a brief statement confirming that he had injured himself and that he was taken to hospital after the college was notified about what had happened. This har...