ANASIMULIA ALIEKUWA GAVANA WA California MAREKANI NA MSANII MAARUFU WA MOVIE
ARNOLD SHWARZENEGGER.
"Nikiwa Gavana safari moja nilialikwa katika uzinduzi wa Hotel moja hapa Marekani
Baada ya uzinduzi nilishangaa kupewa barua ya offer
Kuwa wakati wowote nikitaka kulala hapo hotelini chumba changu kitakuwa tayari 'booked'kwa jina langu na sitolipia...
Sikuwahi kwenda hata mara moja kulala ama kutumia offer hiyo.
Mara baada ya kumaliza Ugavana wangu siku moja nikaenda na Offer yangu pale Hotelini mara kadhaa nikiambiwa hakuna Nafasi ya hiyo Offer.
Nikatoka nje ya Hotel pale tulipofanya uzinduzi miaka iliopita nikatandika chini na kulala hapo.
Wakaja watu wakashangaaa sana,
Nimechanganyikiwa ama la.
Alipokuja mwandishi kunihoji nikamwambia nina statement nataka kuithibitisha na ni hii:
'Wakati unanafasi hasa ya madaraka, kunawatu watakuthamini sana kwa kuwa cheo chako kinafaida kwao na si wewe,
siku ukikosa hiko cheo hawatokuthamini,na leo nimeweka ushahidi wa hilo na si kwamba nilikuwa na nia ya kulala hapa Hotelini.
Wenye vyeo na Madaraka tuweni makini sana tusije mkatumika kwa maslahi ya vyeo na madaraka yetu,Na tusije tukadhania marafiki hao na offer za namna hiyo tunazopata tukiwa na madaraka zitaendelea TUKIWA HATUNA HAYO MADARAKA."
Comments