JENGA AFYA, EPUKA CONSTIPATION NA KINYWAJI ASILIA
Leo napenda kuwashirikisha umhimu wa kuhakikisha tunapata Choo kwa wakati, Choo laini na kuepuka kupatwa na tatizo la salatan ya utumbo yaani COLON CANCER
wataalam wa afya na tafiti za afya wanaeleza kuwa takribani 90% ya magonjwa mengi hutokana na mmeng'enyo mbovu wa chakula
Kwa mfano, tulapo chakula kinapaswa kupita hatua tatu hadi kufikia hitaji la mwili
a) usafishaji... Cleansing
b) Ufyonzwaji.. Absorption
c) Ufanano... Assimilation
Hizi ni hatua tatu mhimu ambazo huitwa NUTRITION STAGES kitaalam
Ili chakula kifyonzwe ni lazma vinundu vipatikanavyo ndani ya utumbo mwembamba (small intestinal villai) viwe safi kuruhusu virutubisho yakiwemo madini kunyonywa kirahisi.
Kitendo hiki huweza kuruhusu mishipa ya damu kubeba virutubisho kupeleka katika seli za mwili >tisue >organ>mfumo wa mwili (body systems )>mwanadam (human body)
Hivyo ni mhimu kusafisha sumu, kemikali, na mafuta mabaya yaliyoganda kwenye utumbo ili kuwa na afya njema kwani chalupa kikikaa ndani kwa mda mrefu huoza na kuzalisha bacteria hatarishi ambao huanza kushambulia kuta za utumbo na kusababisha vidonda vya tumbo (gastric ulcers ).
Kula matunda na mbogamboga, kunywa maji mengi na fanya mazoez
Kwa matokeo mazuri zaidi tumia kinywaji halis cha aloe vera
Comments