🌸MFUMO WA VIUNGO (Mascular skeletal) na ALOE FREEDOM
Kwa kawaida mwili wa binadamu huhitaji mjongeo (mobility). Mjongeo huu hutegemea sana uwezo wa mwili kuzalisha uteute mhimu uitwao Synovial fluid, kwani ndio grease ya mwili kusaidia viunga vya mwili kama joint za Miguu, mikono, nyonga n.k.kutosagana au kugusana.
Ute huu uitwao synovial fluid hupungua mwilini kutegemea na umri kuongezeka. Hii ni kutokana na ukweli kwamba mili yetu haina uwezo wa kuendelea kutengeneza ute huu mhimu.
Ni mhimu kutambua changamoto zitokanazo na upungufu au muisho wa ute huu
Mfano:
√ Mifupa kuuma
√Miguu kuwaka moto
√ Viunga kuuuma
√ Maumivu ya nyonga na magoti
Viunga vya mwili hutegemea na uwepo wa viambato vya madini ya
• Glacosamine sulphate hii hutumika kutengeneza gegedu yaani CARTILAGE, tendones
•Chondriotin sulphate hii hutumika kutengeneza ute ute mzito ulio kama grease yaani (Synovial fluid) ambao ni mhimu katika mjongeo
•MethyliSupholymethane (MSM) hii huzalisha protein mhimu ili seli na tissue katika mwili hususani mifupa ziishi. Wataalam huita ni (Abundant component) ni kamponenti mhimu mno kwani ili seli za mifupa zizaliwe huhitaji protein hii
MANUFAA YA Aloe forever freedom
Kutokana na kusheheni kiwango kikubwa cha Glacosamine sulphate, chondriotin sulphate, MSM, vitamin C hufanya yafuatayo
√ Kulinda viungio
√ kusaidia mifupa isipasuke kwa kusuguana
√ kusaidia maumivu ya mifupa
√ kusaidia kuondoa tatizo la Miguu kuwaka moto
√ kujenga mifupa kwa kuzalisha seli na tissue
MHIMU:
serving 1ya Aloe freedom itakupa
1500mg za Glacosamine, 1200mg za chondroitin, 750mg za MSM na 250 gm za vitamin C
Tuwapende wazee wetu, kwani wanahangaika kutembea na fimbo barabarani.
Share na wengine waone
Comments