Skip to main content

IJUE AFYA YAKO LEO ILI UIJENGE KESHO YAKO VIZURI

IJUE AFYA YAKO

Kwanini ni mhimu kudhibiti uzito au kitambi??
-kuwa na monekano mzuri
-kuepuka kuzeeka mapema
-kupunguza matatizo ya viungo kama miguu
-kupunguza kasi ya magonjwa yasiyo ambukizi mfn.pressure, kisukari,kansa,moyo,figo,saratani ya tezi dume, kupata ugumba,upungufu wa nguvu za kiume na vimbe katika kizazi kwa wanawake.

Je umewahi kujiuliza maswali haya ?
a)Kwanini unanenepa?
b)Kwanini unataka kupungua?
c)Njia gani salama kiafya kutumika ili kupungua

Njia kuu tatu watu wengi hutumia
i) Mazoezi, vyakula bora na kunywa maji mengi
ii) Kufanya diet mfn.kuacha kula au kutumia vyakula vyepesi, mboga na matunda (suicidal dieting)
iii) Kutumia bidhaa lishe yaani nurition supplements.

IJUE FOREVER C9 YENYE VANILLA AMINOTEIN

Clean 9 ni program ya siku tisa iliyoandaliwa maalum kuuandaa mwili wako katika safari ya kupungua uzito, program hii ina bidhaa tano yaani
     -Aloe vera gel
     -Ultra lite vanilla
     -Forever garcinia
     -Forever therm
     -Forever fiber

Nini kazi ya
A) ALOE VERA GEL
-Husafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ili kuruhusu chakula kumeng'enywa kwa wakati hivyo kuuzesha mwili kupunguza uwezo wa kubadili wanga kuwa mafuta

-Husafisha sumu na uchafu utokanao na vyakula, vinywaji, hewa, dawa za hospitali mfn.chips, vumbi, AC, hivyo kuupa mwili nafasi ya kuunguza mafuta

-Huimarisha kinga ya mwili kwani hulisha seli moja kwa moja
-Husaidia pia kuyeyusha vimbe

B) THERM
-Huongeza kiwango cha joto la mwili hivyo kurahisisha uchomaji wa mafuta yaliyoganda chini ya ngozi

-Hufungua vitundu vya ngozi kuruhusu uchafu utokao kwa njia ya jasho kutoka kwa urahisi

C) GARCINIA
-Hubadili mafuta yaliyotunzwa mwilini kuwa nishati hivyo kuruhusu mwili kutumia akiba ya chakula kilichopo na kupunguza hitaji la chakula toka nje..

-Hupunguza hamu ya kula ovyo kwani hutoa taarfa kupitia nerves juu ya kutosheka kwa mwili hivyo hurahisisha upunguaji.

D) FIBER
-Hizi ni nyuzi nyizi mhimu kwaajili ya kuboresha mfumo wa usagaji chakula kwani husaidia bacteria rafiki ktk utumbo kuzaliwa hivyo kuufanya utumbo kumeng'enya chakula kwa urahisi

-Hukaa tumboni kwa mda mrefu hivyo kukufanya ujihisi kushiba na hatimae kuepuka kula vyakula mara kwa mara.

E) ULTRA LITE VANILLA
-Huu ni mchanganyiko wa unga wenye protein ya mimea kama soya beans, husaidia kuimarisha misuli na kuboresha seli

-Ni lishe tosha kwani huujenga mwili kwa nyama baada ya kuondoa mafuta.

KUMBUKA
hizi sio dawa bali ni virutubisho
Epuka unene kula vizuri,kunywa maji mengi na fanya mazoezi.

Comments

Popular posts from this blog

DAWA YA ASILI NA USAFI KWA WANAWAKE NI MUHIMU

Dawa ya Uchafu Ukeni Kwa kawaida mwanamke hutokwa na majimaji mepesi (vaginal fluids) yenye rangi nyeupe au ya njano. Inapotokea anatokwa na majimaji yenye ute mzito wenye rangi nyeupe au kahawia na yanatoa harufu kali na muwasho, hiyo huwa ni ishara ya ugonjwa uitwao wa kutokwa uchafu ukeni ujulikanao kwa kitaalamu kama ‘Vaginosis’. Mwanamke mwenye tatizo hili hujisikia vibaya na anaweza akaacha kushiriki tendo la ndoa ama kwa kuhofia maumivu au kwa kuona aibu kwani mwanaume ni vigumu kuvumilia harufu hiyo au hata kuuona tu huo ute ute kwani humjengea hisia kwamba mwenza wake atakuwa na magonjwa ya zinaa au si mwaminifu kwa ujumla. Kinachosababisha kutokwa na uchafu ukeni: • Kuwa na wapenzi wengi • Baadhi ya dawa za uzazi wa mpango • Kusafisha uke kwa kutumia dawa zenye kemikali • Uchafu • Uvutaji sigara • Pombe • Maambukizi ya Bakteria au bakteria wabaya wanapozidi ukeni Dalili: • Kutokwa na uchafu us...

FAIDA ZA MAZIWA YA SOYA MWILINI

DONDOO ZA AFYA........!!!! MAAJABU YA SOYA MWILINI. MAAJABU YA SOYA MWILINI. Soya ni zao la jamii ya mikunde lenye aina nyingi za matumizi; ni zao linalofaa kwa chakula cha binadamu na wanyama na pia ni zao la biashara. Zao hilo lina kiasi kingi cha protini yenye ubora wa hali ya juu kuliko kiasi kilichopo katika aina nyingine ya mazao ya mimea.ZK  taasisi inayojishughuliza na uzalishaji wa bidhaa za vyakula lishe na mimea na matunda, vinavyoweza kutiba magonjwa mbalimbali wamezalisha maziwa ya Soya ambayo yana  kiasi cha protini inayozidi hata kiasi cha protini katika nyama, mayai na maziwa. Hii inamaanisha kuwa maziwa ya soya ni chanzo rahisi na cha bei nafuu cha protini hasa kwa watu wenye kipato kidogo ambao hawawezi kumudu gharama za vyanzo vingine vya protini kama nyama, maziwa na samaki. Aidha, maziwa ya soya yanaa mafuta bora yasiyo kuwa na lehemu (cholesterol). Uwingi na ubora wa protini katika maziwa ya soya yanaweza kuondoa utapiamlo hususani kwa watoto na kuwao...

The court system during colonialism in Tanzania.

Introduction. Pre-colonial Period Administration of justice during this time depended heavily on the social economic and political organization of the society in Tanganyika. Two systems of administration of justice namely; The Centralized and the Non-Centralized systems could be identified at the time. The Centralized Systems was applicable to societies with chiefs who played both roles of adjudicators and that of governors. In the Non-Centralized systems the entire community took part in the adjudication of disputes. However in both systems there were no formalization of procedure in adjudication, the customs of the respective societies prevailed in the process. Colonial Period The German Colonial Period. The Land currently covering Tanzania Main Land, was then included in what was called the German East Africa, it was subjected to the German Colonial Rule from 1886 up to the end of the First Ward War, 1918. During this Germany Colonial Rule the Administration of Justi...