Wakizungumza maneno hayo waandishi wa habari na watangazaji wa Clouds Media Group walisema mwanaume au mwanamke aliyezalisha au kuzalishwa mtoto au watoto wa kike huongeza siku za kuishi Duniani. Hebu sikiliza audio yao wakati wakiongea.
Fuata link hii Audio iko hapa
Comments